Udhibiti Wa Huduma Za Kiuchumi Tanzania - Mark Mwandosya - Books - E & D Vision Publishing Ltd - 9789987735099 - 2013
In case cover and title do not match, the title is correct

Udhibiti Wa Huduma Za Kiuchumi Tanzania Swahili, 2 edition

Price
$ 25.49
excl. VAT

Ordered from remote warehouse

Expected to be ready for shipping May 27 - Jun 8
Add to your iMusic wish list

Udhibiti ni njia mojawapo inayotumika kusimamia Uchumi wa nchi na kuendeleza ustawi wa jamii. Udhibiti wa huduma za kiuchumi (public utilities) unahusu kuweka mizania kati ya kuwawezesha watoa huduma na kuwalinda watumiaji wa huduma kama vile maji, umeme, uchukuzi, mawasiliano na utangazaji. Kitabu hiki kinaelezea chimbuko la udhibiti Tanzania katika muktadha wa mabadiliko ya uchumi duniani pamoja na udhibiti katika nchi nyingine. Ni kitabu chenye maarifa ya msingi kwa kila mtumiaji wa huduma za kiuchumi,pamoja na wanafunzi,wasomi, wafanyakazi na viongozi.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released 2013
ISBN13 9789987735099
Publishers E & D Vision Publishing Ltd
Pages 222
Dimensions 13 × 140 × 216 mm   ·   263 g
Language Swahili  

Mere med samme udgiver